CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Korogwe vijijini, kimefanya uchaguzi katika nafasi mbalimbali ndani ya chama na ...
TATIZO la shinikizo la damu likiambatana na magonjwa mengine yasiyo ya kuambukiza, yanaongezeka kwa kasi kubwa na kuwa tishio ...
MAMBO magumu na mazito wanayopitia watoto wanaojilea wenyewe mitaani si ya kupuuzwa. Wako wanaobakwa, kuingizwa katika ...
Serikali tangu awamu ya tano, iliamua kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji ikiwamo ya reli ya kisasa (SGR) ...
SERIKALI imetenga zaidi ya Sh. trilioni moja kwa ajili ya ujenzi na ukarabati wa meli katika Ziwa Tanyanyika na Ziwa Victoria ...
JESHI la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia dereva wa bodaboda, Juma Afyusisye (38), mkazi wa Iwambi mkoani humo kwa tuhuma za ...
Kamati ya Bunge Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeshindwa kufanya ukaguzi katika jengo la Kituo cha Biashara ...
KATIBU Mtendaji wa Tume ya Mipango, Lawrence Mafuru, amefariki dunia akiendelea na matibabu katika Hospitali ya Apollo nchini ...
WANAWAKE wametakiwa kujiunga katika vikundi ili kupata elimu ya biashara na mikopo itakayowawezesha kujikwamua kiuchumi na ...
VIONGOZI wa vyama vya upinzani wamezidi kulia na maumivu baada ya kudai kuwa zaidi ya asilimia 60 ya wagombea wa nafasi za ...
WATU wawili wamehukumiwa kifungo cha maisha jela na mwingine miaka 20 kwa makosa ya kuwabaka watoto wenye umri chini ya miaka ...
KAMATI za Kudumu za Bunge ya Bajeti na Miundombinu zimelishauri Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuweka mifumo ya ulinzi wa ...