Janga la siku ya Ijumaa la tsunami katika kisiwa cha Sulawesi ni kitendawili kwa wengi. Wakati huduma za dharura zikishika kasi, wanasayansi wanajikuna vichwa kujaribu kuelewa ni kwa nini mawimbi ...