Kuna wakati ambao unazongwa na mitihani ya maisha kiasi cha kuhisi unapanda mlima kila siku, na kila asubuhi unapoamka, mlima ule bado uko pale pale unakukodolea macho. Je ni changamoto gani ...